Ushindi wa CHADEMA Urambo, CCM wapoteana

Ushindi wa CHADEMA Urambo, CCM wapoteana

jedrick

Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
49
Reaction score
22
Kufuatia ushindi mkubwa wa Chadema urambo mjini, kikiwemo kitongoji anachotoka waziri wa ushirikiano wa Afrika mashariki Mh:samwel sitta, imeripotiwa kuwa CCM wamechanganyikiwa kiasi cha kupeleka pingamizi dhidi ya washindi wetu wote mahakamani. Moja ya vioja katika pingamizi hizo nikuwa, uchaguzi ulifanyika kwenye chumba kidogo sana, maajabu.
 
Sidhani kama watapata wa kuwasikiliza ,maana vigogo wahoi wanahangaika na jinamizi la ESCREW ,jipya siku hizi miccm haichekeani kila mmoja kauchuna !
 
Tena wakufilie mbali huko.....hongera CHADEMA.
 
hao wameelekezwa makao makuu na mahakama zitawasaidia jipangeni
 
wataenda mpaka motoni wamechangikiwa sana
 
Ilikuwa enzi ya mwalimu watanzania,wamechoka majivi yaleyale,kwa mbinu zilezile na matokeo yaleyale
 
Kama li Six wamelibana safi sana hongereni CHADEMA
 
Back
Top Bottom