Hujambo?anusa masaburi huyo....
View attachment 82754 kipa wa nigeria akimbeba refa baada ya kupuliza filimbi ya mwisho
anusa masaburi huyo....
anusa masaburi huyo....
mimi nilihisi ni mara yake ya kwanza kuchezesha fainali hivyo aliukimbilia mpira kama kumbu kumbu yake.Hapo sasa,hata mi sijaelewa
Hujambo?
Alhamdulhilah.Mie mzima mpendwa...wewe je?
Nilipoona tu uko hapa, nikajua comment yako itakua kinyume mwendo saa!
Na hujaniangusha...