Ushawahi mkimbia mwanamke chumbani?

Kuna jamaa yangu mmoja aliingia na demu hakujua kama ni mke wa mtu. Alipomaliza akatoka nje kununua vyakula.

Wakati yupo kwenye meza walikuja mabaunsa wawili wakamuuliza jamaa, hivi hujamwona mwanamke amevaa nguo flani maeoneo haya, wakampa na picha amuangalie vizuri.

Jamaa akajibu kwa vizuri tu, nadhani nimemuona ameingia kwenye hiyo guest hapo mbele. Mabaunsa wakamshukuru jamaa kwa kumpa mkono shukran kaka.

Mabaunsa walipoondoka, jamaa alitoka mbio mpk visigino vimegonga kwenye kichogo
 
Sasa huyu si me jamani?
 
Kuna jamaa yangu mmoja kijijini alienda kupiga mzigo kwenye pori mida ya saa 2 usiku,

Sasa ile amemuinamisha demu anaendelea na kupiga mzigo akapita panya spidi kali karibu na miguu.

Jamaa kwa uoga alijua ni nyoka, alikwenda mbio hatari, utamu ukaishia njiani. Walikuja kusimuliana kesho kila mmoja alikimbia kivyake
 
Nilijua mwanamke bahada ya kutoa nguo ndio nikakuta kumbe Na yy ana rungu
 
hahaha we jamaa bana.
 
Wanaume wa jamii forum wote wanajua kumbato na wote wanakimbiwa kwa dozi wanazowapa wanawake, zaidi wana midushe mikubwa.....lakini cha ajabu kila kukicha wanatafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume...!!!!?
 
Wanaume wa jamii forum wote wanajua kumbato na wote wanakimbiwa kwa dozi wanazowapa wanawake, zaidi wana midushe mikubwa.....lakini cha ajabu kila kukicha wanatafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume...!!!!?
You have to exclude me
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…