never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,013
Hahahahaha'Wakimalawi' ni nini? Unajua matumizi ya hii alama '.'?
mhhhhhhhnilikimbiwa mimi nakumbuka ile gesti ilikuwa choo cha nje kumbe yule demu alitime alichukua wallet na simu handbag aliaacha akatoka na kanga mbili nguo alizokuja nazo aliacha.
baada ya siku kama tatu alinicheki kuulizia vitu vyake kama nilimchukulia, uzuri nilimbebea.
ila mpaka leo hajanambia sababu ya kunikimbia
I love youmhhhhhhh
Eeeh jamani ntanenepa sasaI love you
hata mi nakupenda pia.Eeeh jamani ntanenepa sasa
Asanteee sanaaa, jamani nakupenda, nawapenda sana asanteni kwa aya maupendo naona naongezeka tu kilo hahhahahata mi nakupenda pia.
teh teh,aya bhanaAsanteee sanaaa, jamani nakupenda, nawapenda sana asanteni kwa aya maupendo naona naongezeka tu kilo hahhaha
Aya unipende tuuu yan usichoke kabisateh teh,aya bhana
tuma picha basi nione hizo kilo ili nijue kama i love you zangu zinaenda kihalali au naibiwaAsanteee sanaaa, jamani nakupenda, nawapenda sana asanteni kwa aya maupendo naona naongezeka tu kilo
Hahahahhahaa uibiwe na nani sasa??? Huniamini ehtuma picha basi nione hizo kilo ili nijue kama i love you zangu zinaenda kihalali au naibiwa
Kweli? my dear.Aya unipende tuuu yan usichoke kabisa
[emoji3] [emoji3] hamna naamini ukiniaminishaHahahahhahaa uibiwe na nani sasa??? Huniamini eh