Mara nyingi watu wamekuwa wakiogopa kula maembe mabichi kwa kuogopa sheria za nchi(especially wale wanaolipa 200 kwenye mwendokasi)
Ila jaman haya maembe mabichi ni matam hasa ukiyala na chumvi[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] maana huwa kwanza kuna raha kupata kale kausumbufu ka kuyachuma na kuyatoboa
Nipe uzoef kama ulishawah kula maana mwenzenu niling'atwa kichwa ila nikafanikiwa