kaka mapenzi ni kitu cha ajabu Sana, niliweza kumkwepa huyu mdada zaidi ya miez sita hakuchoka kunisaka mpk kanitia kitanzi.wewe ni snitch boy....
na masnitch fate yao ni kushoot na gun kwenye ubongo..
unaanzaje kutembea na mke wa rafiki au ndugu yako???
pumbavu sana!
kwahiyo ukaona umtunikie mkuyenge??? sasa pambana na hali yako, hili jinamizi litakuwinda maisha yako yote mkuu....kaka mapenzi ni kitu cha ajabu Sana, niliweza kumkwepa huyu mdada zaidi ya miez sita hakuchoka kunisaka mpk kanitia kitanzi.
Dah mkuu, issue n mdada ndio alianza km masihara
Na wewe ulikua kipofu eti??Dah mkuu, issue n mdada ndio alianza km masihara
kwahiyo ukaona umtunikie mkuyenge??? sasa pambana na hali yako, hili jinamizi litakuwinda maisha yako yote mkuu....[/QUO
dah lishaaanza kunisumbua MKUU coz mdada nahisi kutaka kubadl uolewaji.
Kwa hiyo mwanamke kakuzidi akili?[/QUOT
nyie kwa masuala ya mapenzi mnauwezo mkubwa wa ushawishi
Mkuu mdada ndio analotaka hiloHuyo mke wa mtu anakutingishia tu kiberiti hamna cha mimba wala nini, anakupima kama kweli unampenda au la.
sasa mi nnachokushauri mwambie ukiachika mi nitakuoa, ntakujengea nyumba na pia ntakununulia gari japokua we mwenyewe hauna hata baiskeli.
Hawa ndugu zetu hua wanapenda sana kudanganywa na kusifiwa.
Ila nakupa tahadhari tafuta walinzi wawe wanakulindia masaburi yako.
Maendeleo hayana chama
Mkuu tunatishana. ushauri wako n muhimuhapo bado mbona...... mengi yatakuja. ukipanda mahindi lazima uvune mahindi mkuu
Hapana ila nyie ni madelila km Samson na miguvu yake alishawishika Leo mm??
Dah, "kwahiyo"Ko ni nini?
sawa mkuu ktk hili ni rahisi sana kuhukum,ila mapenz yana-run dunia,Kwanza wkt unaenda kufanya huo upuuzi hukutuaga yamekushinda huko unakuja kuomba ushauri
Pili ulijua kabisa kuwa huyo dada kaolewa na mnafahamiana na mume wake ww unaroho mbaya sn na mharifu sn
Ushauri kuwa tayari kwa lolote litakalotokea km ni kulea mtoto au kuachiwa mke vyovyote vile uwe tayari
Asante MKUU. iko siku utajua shida za wenzako
jaman😱