Sawaaa MKUU lakini, shida ni mdada ndio chanzo coz aliweka chambo na nikajikuta nimo πUjinga wako umeanzia pale ulipogonga Dem wa Mshikaji wako mnayefahamiana.
Weee ni Rafiki Mdananda. na adhabu yako ni KULIWA KINYEO TU ..
nmeandika huku nausingiziiiiii[emoji349][emoji349]
Mkuuu Binadam hatuko sawaa ktk kufikiri na kutafakari, je ushaur wako ndio huuu na uwezo wako ulionao πYaani kuanzia ulichofanya mpaka uandishi wako unasadifu uwezo wako wa kufikiri..!!
Yaani kuanzia ulichofanya mpaka uandishi wako unasadifu uwezo wako wa kufikiri..!!
sawaa MKUU,Jiandae kisaikolojia
Dah asante MKUU. hiviii inawezekana demu anatikisa kiberiti aone reaction yanguee? π±Kitu ambacho hukijui, wanawake wanaakili mara mbili ya wanaume haswa linapokuja suala la mapenzi.
Chochote unachofanya, fanya kwa akili na tahadhari kubwa sana. Majibu yako yawe ya akili na tahadhari kubwa sana.
Hawa wanaanza kutongonzwa akiwa na miaka miatano, mwanaume anaanza kutongoza wengi akimaliza form four au form six. So think mwenyewe, expert hapo ni nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawaaa MKUU lakini, shida ni mdada ndio chanzo coz aliweka chambo na nikajikuta nimo π