Wanajamii forum naomba ushauri.mfano na degree ya education then nataka nikajiendelez masters ya kitu kingine may be human resource or public administration.je inawezekana? Kama ndio je kwenye ajira naweza pata au nd itakuw tabu
Ukitaka kubadilisha fani kabisa lazima uanze post graduate ya ile fani unayotaka kuingia say afu ndo unapiga masters hiyo unafanya ili kujipiga msasa na kazi utapata kama kawaida..
Thanx kababi, hiyo pia nilifikiria sema sas huon kam kuanza postgraduate then masters itachukua muda sana ukiangalia yenyew ni ruhusa umepew kazin ya two years Kababi