nikaamua kuw na mwanaum mwingine ambay tumedum mwak mmoja,yey anaishi nje na niliamin ananipenda na kwasasa na mimba yake yenye miezi mitatu
watu8;7523414 Waungwana siku zote husema "Mchuma janga hula na wa kwao" said:its very true mimba kabla ya ndoa halali ni mbaya sana japo kwa sasa yanatokea katika familia zetu ila its best we take care
men are not people to trust 100%take time mume wa mtu ni hatari
hahaha Mentor usiwahukumu wote. There are some cool, lovely and sweet woman. Huyu yeye mwanzo alikataliwa akatafta pa kupumzka akadondokea pua, sahv anamtaka aliemkataa mwanzo, sjui ni kipi kipya amekuwa nacho. Labda kawa wa dhahabu!!
Hivi binti, wakati unapata hiyo mimba na mwanaume ambaye hata hamjaoana kuna mtu yoyote hapa JF aliyekushauri umvulie chupi huyo bwana?
Waungwana siku zote husema "Mchuma janga hula na wa kwao", sidhani kama hiyo mimba uliipata tu kwa bahati mbaya...
Daddy... hebu punguza ukali wa maneno please!!!!