USHAURI

asikudanganye mtu ufundi unaweza jifunza kwa mafundi mtaani tuh huku unapata pesa kidogo veta ukitaka cheti ni rahisi tuh kukipata kikubwa ni ujuzi na uwe unaupenda ufundi si unaingia kwa dhiki
Barikiwa ndugu
 
Acha uoga wa Maisha
 
Piga kitabu chuo utanishukuru kijana
 
Halikisha GPA haishuki 3.8
Hakikisha lecturers wako wanakujua. Unaweza kujipendekeza, kuwa CR au kumbebea hata projector au PC anapokwenda ktk gari lake au ofisini kwake.
Do this for some times. Kuwa free kwake kama ana favour ya kukutuma ktk mazingira ambayo yata retain dignity yako.
Ktk kuishi kwa style hii utajua vitu vingi kuhusu hiyo kozi na connection za ajira zake zikoje.
 
Shukran mkuu nitafanyia kaz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ