JAMN NAOMBEN USHAURI
I'm a man ages 22
niko mwaka wa pili course ya regional development planning ila sina uhakika na hii degree natamn kuacha niongee na wazaz wanipeleke hata veta au short course itakayo nifanya nikimlza nipate mia mbili mia tatu naomben ushaur wakuu nikaze hadi nitoboe au niachie hapa hapa n 4yrs hii course na ipi angalau ya veta itanipa mia mbil mia tatu na kipi chuo husika ?
au wenye walisoma hii vip huko mtaani m nilichagua tuh kama option but course nlotamn skupata na kuchange ikashndikana