Saif Mohamed
Member
- Oct 2, 2013
- 49
- 49
Habari Zenu wakuu
Naombeni kwa ushauri kwa mke kama huyu :-
1 ) Ni mtu anapenda kutafuta chokoro chokoro kutwa
2) Ni mtu hapendi sana ndugu zangu wala utani hana nao kidogo wakifanya nae Jokes anakasirika lakini akiwa kazini kwake ni jokes kwenda mbele
3) Ni mtu ukimwambia leo tutakwenda kula kwa My Family yangu ghafla anajeuka hazungumzi yaani utadhani nimemwambia tunaenda JELA .
lakini mimi ni kawaida kwenda kwao bila Issue yoyote ila yeye hawezi kusema hata siku moja leo twende kwenu tukaamkie au kula never .
4) Ni mtu ambae kwa mfano Mama yangu akinipigia simu kumpeleka sehemu yeye ni kukasirika tu Je kuna mapenzi kweli ?
Hii Situation ninayo sasa hivi ni mwaka wa 13 years .
5) Ni mtu hapendi nikashika simu akiona tu nimeshika simu hata kama nacheza Games utasikia una Chart na nani ? Really i m Tired .
6) Ni mtu anapenda wa kwao tu .
Ushauri wakuu nimfanye nini nilisha fanya kazi kubwa kumuonyesha vipi mke should be lakini wapi .
Bila KASHFA please .
Kwani Ushauri una Dini ?Kwanza kabisa kabla ya ushauri
Wewe Mkristo au Muslim?
MuslimKwanza kabisa kabla ya ushauri
Wewe Mkristo au Muslim?
Kuna ubaya wowote kutaka ushauri au tarehe za kufa zimefika ?Ulishindwa Kumnyoosha kwa miaka 13 yote hiyo, leo ndo unataka ushauri?
Muslim
Kwani Ushauri una Dini ?
THANKSKaka mimi naona kama uliweza kuvumilia for 13yrs unaweza endelea vumilia maana huo ni mzigo wako, lkn pia dini unakuruhusu kama unaweza oa mke wa pili maana kusema kumuacha sidhani kama ni swala la busara sana mtakuwa na familia na mambo mengine mengi mmefamya pamoja
So hapo kaka utaangalia unachoweza kufanya ila la kumuacha hili sili afiki sana[emoji3]
ThanksPole sana.......kwa hakika dini yako inakuruhusu.......wala usipoteze mda......uwe makini usioe kwa jazba wala kisasi....just for life..
Habari Zenu wakuu
Naombeni kwa ushauri kwa mke kama huyu :-
1 ) Ni mtu anapenda kutafuta chokoro chokoro kutwa
2) Ni mtu hapendi sana ndugu zangu wala utani hana nao kidogo wakifanya nae Jokes anakasirika lakini akiwa kazini kwake ni jokes kwenda mbele
3) Ni mtu ukimwambia leo tutakwenda kula kwa My Family yangu ghafla anajeuka hazungumzi yaani utadhani nimemwambia tunaenda JELA .
lakini mimi ni kawaida kwenda kwao bila Issue yoyote ila yeye hawezi kusema hata siku moja leo twende kwenu tukaamkie au kula never .
4) Ni mtu ambae kwa mfano Mama yangu akinipigia simu kumpeleka sehemu yeye ni kukasirika tu Je kuna mapenzi kweli ?
Hii Situation ninayo sasa hivi ni mwaka wa 13 years .
5) Ni mtu hapendi nikashika simu akiona tu nimeshika simu hata kama nacheza Games utasikia una Chart na nani ? Really i m Tired .
6) Ni mtu anapenda wa kwao tu .
Ushauri wakuu nimfanye nini nilisha fanya kazi kubwa kumuonyesha vipi mke should be lakini wapi .
Bila KASHFA please .
duuuuh hiyo kaliMUACHE MAPEMA.MFANO MM NASHANGAA KWA NN BABA YANG AKUMTALIKI MAMA KWA TABIA ZAKE MBOVU
Bandiammmh we sio mme wangu kweli? nna wasiwasi ππ
Ukisha gundua mwanamke amejawa Na chuki roho mbaya afai.itafika wakati uatakuchonganisha Na wanaoduuuuh hiyo kali
Kazi imeisha hapa..Muslim