Ushauri wenu wakuu

CuteJancs

Senior Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
163
Reaction score
178
Mimi Ni mwanaume wa miaka 28 Sasa, tatizo langu Ni kuwa genye kupindukia, Hali hii imenisababisha nisioe mapema kwa kuhofia nitaachana na mke wangu mda mfupi baada ya kumuoa.
Kipindi Niko O'level na advance nimewala Sana wanafunzi wenzangu kiasi kwamba mpka nikawa najishitukia labda nimeshaathirika maana sikuwa na utamaduni wa kutumia condom. Mda mwingine nakuwa sijielewi yaani nafanya Mapenzi after 2hrs tukiachana na huyo mtu niliyesex nae napata genye, na Sina utamaduni wa kumrudia mwanamke nikishakusex nae, yaani tukishasex tushamalizana nakuwa Sina hamu na wewe tena
Kipindi Niko chuo baba yangu alinipa jukumu la kutoa ushauri wa jinsi ya kuendesha kampuni kifaida na kujitanua mikoani, na pia akaruhusu nipewe gari kwa ajili ya matembezi yangu Binafsi ninapokuwa chuoni, kwa kipindi hiki nilipokuwa chuo 2011 -2015 nimewagonga Sana wanachuo yaani Sana sana, ikipita siku Sina demu Basi ujue Niko home au naumwa, nikawa najishitukia najua nimeshaathirika so nikawa napambana nimpe angalau mwanamke mimba then akapime tuone majibu yatakayotoka na haikubahatika mpka namaliza 2015

2016 nikapata job kwenye moja Kati ya maahirika ya serikali, hapa Sasa ndo nikawa Niko huru zaidi na kwa vile sikuwa na utegemezi wa kifedha kwa Wazazi na familia yaani fedha zangu zilikuwa Ni Mimi na malengo yangu ama Kuna msaada niwaambie Wazazi waniboost kifinancial.

Ile naanza kazi mzee ananipa kiwanja chenye nyumba amabayo haijamalizika nimalizie niishi, nikaimaliza huku kugonga Kama dairly na mwingine, Sasa Kuna siku ilikuwa siku ya ukimwi meneja akatuambia Kuna watu watakuja kutoa elimu ya ukimwi na kupima but kupima kupima Ni hiari, kweli siku ikafika jamaa wakaja wakatoa somo lao ikafika mda wa kupima, wakapima watumishi wote mm nilikuwa na waswas ya kufa mtu na kwa sababu ofisini wanajua mm Ni kiwembe wote wananiangalia Kama nitapima maana watoto wanaokujaga field wote wazuri lazma nigonge kwa gharama yeyote ile,

Walivyopima wote nikaona isiwe tabu na Mimi nikapima ila majibu hatukupewa hapohapo hii ilinipa mchecheto nikajua labda atapewa boss wangu, siku hiyo baada ya kusitasita kwa mda mrefu ikabidi niende hospital kupima ili nijijue nilipofika nikamueleza dokta akaniambia haina shda akaanza kunipima, baada ya Kama dk10 akanipa majibu kwamba Niko salama, seriously sikuamini nikaenda hosiptal ya pili pia nikiambiwa Niko salama, nikaenda ya tatu Tena nikiambiwa hivohivo. Hii ikajiengea kuniamini na kujenga mikakati upya ya kuwagonga wasichana

Sasa nikaadhimia kila mwanamke mzuri ninaemhitaji lazma nikampime na kweli hii situation imenifanya niwe na namba nyingi za madaktari na manesi wa hospitali za ndani na nje ya mkoa ninakosafiri, Tatzo linakuja ninatumia gharama nyingi kwa wanawake na nakuacha siwezi maana hata kupima hii HIV japo Ni bure but Kuna mda naenda hospitali mda mbaya saa6 usiku inanilazimu nitoe elfu10 kwa watu wawili, na nikishasex na mtu Sina hamu Tena ya kurudiana nae.
Na kila nikimuona demu mzuri lazma idinde, kiukweli nimewagonga mpka rafiki zangu wananiambia natumia ndumba za kuwavuta mademu wazuri, mademu niliowagonga tangu naanza kujitambua Kama Ni abiria Basi kumi za mikoani Nina uhakika zitajaa na abiria watabaki.

Sasa ndgu zangu tabia nashindwa niiepuke vipi, sinywi pombe, sivuti sigara, sivuti bangi but napenda mziki na sehemu za starehe Sana.

Nashindwa kuoa nahisi nitamtesa mke wangu sana, nifanyeje wakuu... Maana kila nikiona mademu wakali na wazuri Sina aibu hata awe amezungukwa na watu kiasi gani nitamfuata nimuongeleshe anipe namba za mawasiliano na lazma nimgonge kwa gharama ya pesa yoyote
 
Hahaha hiyo ni private ID mkuu, siku ukiwa na ufahamu wa masuala ya intelligence hutashangaa,
But vitu Kama kuombwa kopo hayo Yana yenyewe
Mwanaume unajiita cute angalia usije kuombwa kisamvu cha kopo
 
kaka safi sana yaani hapa duniani kila mtu na starehe yake wewe hiyo ndio yako wala usipate tabu wagegede tuu mwanawane. hawa viumbe wamewekwa kama chombo cha starehe wewe gegeda tuu.
 
Bila shaka utakuwa umesahau ID uliyotaka kutumia, ukajikuta unatumia ID mpya ya Cute Jancs.

Siamini kama dume kabisa unaweza kujiita cute!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…