Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 832
Mpe mimbaHabari ya uzima ndugu Wana JF,, poleni na majukumu ya kila siku.
Nimempenda binti wa kimasai naniko tiyari kwenda kwao kufanya taratibu za kuoana. Ugumu unakuja kwa kaka zake hawataki dada yao aolewe kwa mwanamme asiye masai. wakati huo mama wa binti amekubali na hajui kiswahili nanamna yakuongea naye vigumu.
Kaka ake mkubwa ndo mlezi mkubwa aliyemlea binti tangu mdogo pindi baba yao alipofariki. Binti wa wawatu amekufa ameoza kwangu kama ilivyo kwangu.
Naombeni ushauri wenu wenye experience na case hii. Natanguliza shukrani kwenu wakuu.
Binti anahitaji tufunge ndoa kwanza, ndo nimpe mimba , isitoshe mama mtu anatoa baraka zote kwa mwanae kuolewa na mimi sema namna ya kuwasiliana naye kwa kiswahili haweziDuuh dawa mtie mimba tu maana si wamegoma..?
na inakuaje hajui kiswahili vzr au uko chaka uko porini kwao ..? Angalia wasije kukuvamia tu hao morani wakishikana masikio
Kwani unafahamu utaratibu wa kuoa umasaini?mzalishe
utanishukuru, watakulilia na mahari utapanga wewe
Majibu yapi mkuuu"utapa majibu.... Yote ni mitihani" mwisho wa kunukuu
Mtoa mada usije kufata huu ushauri. Hata uhame nchi utapatikana tuKama wamasai huiba mifungo unaonaje na wewe ukaiba huyo mwari wao🤣🤣
Siwezi iba, kaka mtu hataki kabisa japokuwa binti mwenyewe amepanga mjini na hataki kurudi nyumbani anahofia kuozeshwa kwa nguvuKama wamasai huiba mifungo unaonaje na wewe ukaiba huyo mwari wao
wamasai walinipima kama nina uwezo wa kumuoa binti yao wakaropoka mahari million 4 wala sikulalamika, kulia lia au kuomba wapinguze mahari.
mchaga wa rombo ameshakua muarabu😀waarabu kama baba yao😀
mwamangu ina maana huoni rangi yangu au?mchaga wa rombo ameshakua muarabu😀