raiswenu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2018 Posts 1,026 Reaction score 1,786 Apr 9, 2020 #1 Hii ni kutokana na kufungwa vyuo nipo tu hapa Bagamoyo nikisubiria vyuo vifunguliwe ingawaje sina uhakika kama itakuwa mapema. Nina kama 500,000/= kwa wazoefu wa biashara na wenyeji wa maeneo haya, ni biashara gani naweza kufanya kwa kutumia hicho kiasi? Ushauri wenu tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kutokana na kufungwa vyuo nipo tu hapa Bagamoyo nikisubiria vyuo vifunguliwe ingawaje sina uhakika kama itakuwa mapema. Nina kama 500,000/= kwa wazoefu wa biashara na wenyeji wa maeneo haya, ni biashara gani naweza kufanya kwa kutumia hicho kiasi? Ushauri wenu tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,057 Reaction score 22,100 Apr 9, 2020 #2 Nunua mbuzi minadani (Fukayosi) kisha uza Bagamoyo mjini kwenye bar za hapo au anzisha kijiwe chako cha mbuzi choma.utanikumbuka siku Sent from my iPhone using JamiiForums
Nunua mbuzi minadani (Fukayosi) kisha uza Bagamoyo mjini kwenye bar za hapo au anzisha kijiwe chako cha mbuzi choma.utanikumbuka siku Sent from my iPhone using JamiiForums
blackhandsome7 Member Joined Jul 13, 2018 Posts 59 Reaction score 69 Apr 10, 2020 #3 Biashara inataka ianze na mawazo yako ukipewa mawazo ya biashara ya kufanya ikifel utasema labda nilipewa wazo baya angalia nn unakiweza kikimudu Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara inataka ianze na mawazo yako ukipewa mawazo ya biashara ya kufanya ikifel utasema labda nilipewa wazo baya angalia nn unakiweza kikimudu Sent using Jamii Forums mobile app
Barakoa 001 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 5,436 Reaction score 14,925 Apr 10, 2020 #4 Kwa uswahili wa Bagamoyo, uza madera/la na vijola.
raiswenu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2018 Posts 1,026 Reaction score 1,786 Apr 10, 2020 Thread starter #5 Ahsante sana mkuu, ngoja nifanye utafiti kawombe said: Nunua mbuzi minadani (Fukayosi) kisha uza Bagamoyo mjini kwenye bar za hapo au anzisha kijiwe chako cha mbuzi choma.utanikumbuka siku Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu, ngoja nifanye utafiti kawombe said: Nunua mbuzi minadani (Fukayosi) kisha uza Bagamoyo mjini kwenye bar za hapo au anzisha kijiwe chako cha mbuzi choma.utanikumbuka siku Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
raiswenu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2018 Posts 1,026 Reaction score 1,786 Apr 10, 2020 Thread starter #6 bishop nkonoki said: Biashara inataka ianze na mawazo yako ukipewa mawazo ya biashara ya kufanya ikifel utasema labda nilipewa wazo baya angalia nn unakiweza kikimudu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kila wazo linahitaji utafiti, kabla ya utekelezaji, hivyo usihofu kuhusu hilo Sent using Jamii Forums mobile app
bishop nkonoki said: Biashara inataka ianze na mawazo yako ukipewa mawazo ya biashara ya kufanya ikifel utasema labda nilipewa wazo baya angalia nn unakiweza kikimudu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kila wazo linahitaji utafiti, kabla ya utekelezaji, hivyo usihofu kuhusu hilo Sent using Jamii Forums mobile app