Dadaaa kichwa kinakuuma zaid maana umeona kitu kimegonga30..... Yaani linakuchwea bila ndoa....... Usiwaze ndoa wew itakufanya utoe rehani maisha yako..... Be easy njo kwangu tukapime nikuzalishe katoto kamoja kawe kanakusumbua sumbua uache kuwaza ndoa
Mwanaume Gan Anatongoza Na Siku Hiyo Hiyo Anataka Tunda? Kingine Bidada Yuko Cheap Sana Ajitahd Kujiweka Classic Dharau Za Kuombwa Tunda Kama Mtu Anaokota Embe Zisiwepo