Ushauri wenu kwa huyu binti

Kwasasaivi moyo ushaghairi mzee, mwanzoni nilikuwa na hili lengo
 
umeandika mambo mengi ambayo sio ya Msingi...

sasa kama umeshamwambia humuoi sisi tushauri nn sasa??

kwanza hiyo 10% yann..?? ww mwambie kabisa humuoi na hakuna uwezekano wa kumuoa.. akikuganda nenda kwa mganga
Kutafuta nini kwamganga?
 
Naomba kufahamu umri wako na wakwake kwanza nikishajua hapo nitakuuliza swali la pili, ukishajibu hayo, I knw what to tell u, zingatia hilo.
 
ahahaaa yaani nimeshangaa
 
me ndiyo maana nikukutaka sizugi ha hahah.. ona sasa dada akijua akizungusha ndiyo ataonekana wa maana kumbe lijamaa limeshajisepea kitambo
 
Eti hatoolewa mpaka baada ya miaka mitatu ndo afikirie kuolewa hivi mtoto wa kike unafikiria sasa ntaolewa asijitie nuksi kukulilia unakuta mume Baada ya miezi kadhaa akapatikana.
 
Naomba kufahamu umri wako na wakwake kwanza nikishajua hapo nitakuuliza swali la pili, ukishajibu hayo, I knw what to tell u, zingatia hilo.
Mzee nipe tu ushauri kama unao achana na masuala ya umri, hata hayana tija yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…