Wakanda2021
Member
- Apr 27, 2013
- 70
- 8
Huhitaji elim kujua kuwa huyo c wako. Shukuru Mungu hujafumaniwa maana na ngeo ungekuwa nayo... Anza upya hakufai kabisaaaaaaaaaaaaaa!
wewe unataka kulazimisha kupendwa wewe amini usiamni huyo mbaba hakupendi anampenda mkewe
Alishawahi kukugegeda ? KAPIME FASTA
Alishawahi kukugegeda ? KAPIME FASTA
Hana mke na wala hajaoa mana huyo m'ke nilionana naye na tukaongea mengi tu labda ungeniambia mm nimpotezee tu mana kashavunja uaminifu kbs
Olewa tu uwe yaya....