wynejosee
Senior Member
- Jan 28, 2014
- 148
- 59
Kuamia Dodoma serikali ni jambo zuri mno, ila tatizo ni kwamba je wizara zote zitakuwa tayari kujenga ofisi na makazi mara moja kwa watumishi!
Serikali ingechukua uamuzi wa kuhamisha wanafunzi wote wanaosoma faculty ya informatics au Social na kuwapeleka kuwapeleka kule kwenye Faculty ya education ambapo pia kuna majengo Mengi na yatatosha, ili sasa kati ya faculty ya informatics au social ndiopo baadhi ya majengo yatumike kama makazi ya watumishi katika wizara mbalimbali pia kama office za wizara mbalimbali ili tupunguze gharama za kujenga makazi kwa ghafla na ofisi!
Karibu kuboresha wazo na sio matusi.
Wenu katika ujenzi wa taifa hili teule la Tanzania.
Watakao weza mfikishia mkuu wa nchi hili wazo nitafurahi, maana hata ukiangalia kwa TCU guide book UDOM inazidi kupunguza udahili wa wanafunzi tofauti na kipindi cha awali chuo kilivyoanza, mie naamini kuna majengo mengi ya kutosha, hata kiusalama kwa Dodoma UDOM nafikiria ndio the highest peak from the sea level .