Blessed Jr
Senior Member
- Nov 17, 2016
- 134
- 236
Tatizo likowapi hapo...mama yupo fiti anaweza dakika 90 shida iko wapi? Mbona wanaume wa miaka 60 wanachukua vibinti vya miaka 20?Tatizo ni mama mwenye miaka 41 kutoka na kijana wa miaka 29
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tuvumilieni ni nature yetu. Mwanaume mmoja anakinaisha tena uliyezeeka naye akifika middle age shughuli inamshinda so tunaenda kutafuta damu changa, maisha yenyewe mafupi haya.
Sisi wamasai hatushindwi shughuli tukifika middle age... Trust me... labda ukinai kukojozwa tu baas..😉 😉Tuvumilieni ni nature yetu. Mwanaume mmoja anakinaisha tena uliyezeeka naye akifika middle age shughuli inamshinda so tunaenda kutafuta damu changa, maisha yenyewe mafupi haya.
Sisi wamasai hatushindwi shughuli tukifika middle age... Trust me... labda ukinai kukojozwa tu baas..😉 😉
Mwanaume mmoja anakinaisha .
Wanaume tulieni kwenye ndoa zenu maana nyie ndo nambari one kutoka nje ya ndoaKumekuwa na tabia ya akina mama watu wazima kutoka kwenye ndoa zao, kitu ambacho kizadhalilisha hadhi ya wame zao.
Unakuta mama wa miaka 40 anataka atoke na kijana wa miaka 29, sababu, eti hajawahi kuridhishwa na mume wake.
Acheni hizo, ziheshimuni ndoa zenu bana.
Bora umejibuTatizo likowapi hapo...mama yupo fiti anaweza dakika 90 shida iko wapi? Mbona wanaume wa miaka 60 wanachukua vibinti vya miaka 20?
Wakati mwingine nje ya ndoa kuna ndoa bora zaidi .
Lakini pia "Upo uwezekano kero mpya kuwa jibu la kero ya zamani".
Huo umri mdogo sana. Miaka 29 kwa miaka 41 ni midogo sana.Tatizo ni mama mwenye miaka 41 kutoka na kijana wa miaka 29
He,heh...Tuvumilieni ni nature yetu. Mwanaume mmoja anakinaisha tena uliyezeeka naye akifika middle age shughuli inamshinda so tunaenda kutafuta damu changa, maisha yenyewe mafupi haya.