Ndg zangu naomba niwasalimu na niwaulize.
Mimi nilimpenda mdada baada ya kuwa na ndoa na nikazaa nae.
Mke wangu ambae tulikuwa na watoto 2 akakasirika sana,akaokoka.
Jambo la ajabu anaona wale walokole kama ndio ndugu kuliko hata watoto wake.
Mimi sina raha nyumbani,hatuongei mema,mapenzi nk.sisi maongezi yetu ni office type.Mtoto amelala,jibu ndio,basi.
Kwa ukweli kwa mke wa pili hajui suala hili ambalo limedumu zaidi ya miaka 3.
Nilifanya kosa nalikubali,lakini adhabu yake imenishinda!Na nimepata kijinafasi cha kuishi nje ya nchi(naweza niende au nisiende)je nimtoroke huyu mama watoto au kuna njia?
Kwa wachungaji,ndugu,wajumbe kote imeshindikana.
Natanguliza shukurani.
Bado kuna nafasi ya wake wengine wawili zaidi, ukiwanao wanne itakuwa rahisi kuwahandle.
punguza hasira bana , mshauri aseeh! kuishi miaka mitatu na msongo wa mawazo ni mzigo mzito.
Pole ndugu, mkeo hapo mapenzi yamepungua kabisa, na nadhani ameokoka kimakusudi kabisa ili akukomoe hvyo ukidhan ndiyo ulokole wake kumbe anakufanyia kusudi. SikilizaNdg zangu naomba niwasalimu na niwaulize.
Mimi nilimpenda mdada baada ya kuwa na ndoa na nikazaa nae. Mke wangu ambae tulikuwa na watoto 2 akakasirika sana,akaokoka.
Jambo la ajabu anaona wale walokole kama ndio ndugu kuliko hata watoto wake.
Mimi sina raha nyumbani,hatuongei mema,mapenzi nk.sisi maongezi yetu ni office type.Mtoto amelala,jibu ndio,basi. Kwa ukweli kwa mke wa pili hajui suala hili ambalo limedumu zaidi ya miaka 3. Nilifanya kosa nalikubali,lakini adhabu yake imenishinda!Na nimepata kijinafasi cha kuishi nje ya nchi(naweza niende au nisiende)je nimtoroke huyu mama watoto au kuna njia?
Kwa wachungaji,ndugu,wajumbe kote imeshindikana.
Natanguliza shukurani.
Ndg zangu naomba niwasalimu na niwaulize.
Mimi nilimpenda mdada baada ya kuwa na ndoa na nikazaa nae. Mke wangu ambae tulikuwa na watoto 2 akakasirika sana,akaokoka.
Jambo la ajabu anaona wale walokole kama ndio ndugu kuliko hata watoto wake.
Mimi sina raha nyumbani,hatuongei mema,mapenzi nk.sisi maongezi yetu ni office type.Mtoto amelala,jibu ndio,basi. Kwa ukweli kwa mke wa pili hajui suala hili ambalo limedumu zaidi ya miaka 3. Nilifanya kosa nalikubali,lakini adhabu yake imenishinda!Na nimepata kijinafasi cha kuishi nje ya nchi(naweza niende au nisiende)je nimtoroke huyu mama watoto au kuna njia?
Kwa wachungaji,ndugu,wajumbe kote imeshindikana.
Natanguliza shukurani.
Usimtoroke, fikiria kwanza hao watoto 2 uliyezaa nae, isitoshe huyo ni mkeo Wa ndoa na huyo mwingine hatambuliki kokote...
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
yanyqe bana kwa nn mnapenda kuyakoroga alafu mnatuletea hapa mastress yenu?Bado kuna nafasi ya wake wengine wawili zaidi, ukiwanao wanne itakuwa rahisi kuwahandle.