Ushauri: Wanaume mnapochagua wanawake msifuate 'kiki' za mtaani

Ushauri: Wanaume mnapochagua wanawake msifuate 'kiki' za mtaani

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,560
Napenda kuwashauri vijana wote wa kiume kwamba,

mnapochagua mpenzi yeyote kulingana na umbo naombeni mzingatie yafuatayo:

1. Msifuate kiki za mtaani,

2. Fanya maamuzi kutokana na roho inapenda sio washkaji wanapenda nini kwa ajili yako.

Kuna mwenzenu mmoja alitaka msichana mwenye chura ahangaike nae, alitaka zigo la kuvunja chaga aonekane kidume.

Mwisho wa siku kwenye shoo time msichana kakaa juu kijana anahema kama nyoka mkata roho, mwili wa msichana unamwumiza hasikii raha wala nini, unaniua unaniua kwani ulilazimishwa kuchukua nyambizi?

Acheni kutupigia kelele majirani tumelala jamani, oh!​
 
naona point yako ipo namba mbili

kama huna chura usiponde kuna watu wa hovyo hovyo wanawapenda nyinyi flatscreen
 
naona point yako ipo namba mbili

kama huna chura usiponde kuna watu wa hovyo hovyo wanawapenda nyinyi flatscreen
bro vep au ni wewe uliefumaniwaga kule mtaa wa nini sijui ukapelekwa muhimbili?
 
Ushauri Mzuri ila huyo naye alikuwa goigoi labda.

Sisi wanaume ni sawa na baharia, utakwenda na meli yoyote na bahari yoyote japo ni vizuri kuangalia na urefu Wa safari pia.
 
Ushauri Mzuri ila huyo naye alikuwa goigoi labda.

Sisi wanaume ni sawa na baharia, utakwenda na meli yoyote na bahari yoyote japo ni vizuri kuangalia na urefu Wa safari pia.
Hahahahaha
 
13d19f54d815eb99b22d986b52ce5d4d.jpg
 
Mara nyingi ,ina muumiza sana mwanamke pale mwanamke mwenzie anayehisi ana mzidi kila kitu kupata bahati ya kuchumbiwa
 
Back
Top Bottom