Unaishi nao ndugu zako?,..kama ndivyo nunua mahitaji ya chakula kama mchele, unga mafuta mboga wewe mwenyewe wapike,hela mkeo mpe ya matumizi yake akanunue nguo zake kwa kujinafasi by the way yuko kwake hao ndugu ni wapitaji huwezi kuwaoa labda kama humpendi tu huyo mwanamke,... Siwezi vunja ndoa kisa ndugu aisee