Ushauri wako tafadhari.

Ushauri wako tafadhari.

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,522
Reaction score
14,190
Salaam ndugu zangu.

Nina ndugu yangu alimaliza O-level mwaka Jana ila kwa bahati mbaya ha kufanya vizuri kuweza kuendelea advance.
Mimi sikuwepo ila nmerud nimeambiwa alikuwa anafanya mipango aende jeshi ikashindikana. Sasa inabid atafutiwe fani ya kusomea hata mwakani ( hususani fani za afya).
Naombeni ushauri wenu kuhusu fani ambayo ni marketable zaidi (kulingana na alama hizo)

Matokeo yake ni haya:
CIV "E" HIST "D" GEO "D" KIS " D" ENG " E" PHY " E" CHEM "C" BIO "E" B/Math " D". Pass 0.9
 
Mwambie Asomee Kutengeneza au Kubuni MATUKIO Ya Wagombea Urais Na Atakuwa Sana Marketable Kwa CHADEMA Mwaka 2020 Kuanzia Mwezi August Na ITAMLIPA Mno Nina UHAKIKA Wa Hili.
 
Salaam ndugu zangu.

Nina ndugu yangu alimaliza O-level mwaka Jana ila kwa bahati mbaya ha kufanya vizuri kuweza kuendelea advance.
Mimi sikuwepo ila nmerud nimeambiwa alikuwa anafanya mipango aende jeshi ikashindikana. Sasa inabid atafutiwe fani ya kusomea hata mwakani ( hususani fani za afya).
Naombeni ushauri wenu kuhusu fani ambayo ni marketable zaidi (kulingana na alama hizo

Matokeo yake ni haya:
CIV "E" HIST "D" GEO "D" KIS " D" ENG " E" PHY " E" CHEM "C" BIO "E" B/Math " D". Pass 0.9

Huyo qualification za kusomea afya hata kufanya usafi hospital hana mwambie akasomee procurement and supply akienda jeshini atakuwa bwana amara(amoure)
 
Back
Top Bottom