Mkuu why umeanza ulikuwa na mpenzi mkaachan inahusiana vp na ww kupata mpenzi mwngine na kupata kazi :what: Au ulitaka tujue kuwa ww umeshakuwaga na wapenzi wngine huko nyuma:what::what: Halaf usichague kazi fanya iliyopo mbele yako mengine mbele ya safari wenzio hata ya kupata 100,000 wamekosa ww umepata ya hela hiyo muombe Mungu sana na kumtolea sadaka