Inawezekana mkuu mbona mimi napitishia salary exim ila nimechukua mkopo crdb na mwisho wa mwez wanakata chaoHabari wanajamvi.
Naomba ushauri wa kuchukua mkopo. Mm napata ka salary kangu kupitia benki ya posta lakini nataka kuchukua mkopo kupitia NMB hv hii kitu inawezekana? natakiwa nifuate procedure gani kufanikisha hili?.
Nawasilisha kwenu wanajamvi kwa ushauri
Amesema NMB sio CRDB!Inawezekana mkuu mbona mimi napitishia salary exim ila nimechukua mkopo crdb na mwisho wa mwez wanakata chao
Okay mkuu mi nilijua labda anataka kujua kama inawezekana kupata mkopo kwenye bank tofauti na anayopishia mshaharaAmesema NMB sio CRDB!
Kimsing NMB mpaka mshahara wako upitie kwao ila kwa CRDB unapata mkopo hata kama mshahara wako haupitii kwao, watahitaji bank statement ya miezi 6 km sikosei. Mi nilishaenda NMB nikakosa sifa kwa kuwa mshahara wangu haupiti hapo!