wadau wa j.e naomba mnisaidie kwa experience yenu, kati ya masters ya environmental health na masters ya monitoring and evaluation ipi nzuri zaidi kwa maisha ya mbele kwa mtu aliyesomea bsc ya ualimu