Tayari tunalipa kodi nyingi mno kwenye mafuta, sasa waongeze ya nini tena? Msongamano utapunguzwa kwa upanuzi wa barabara na ujenzi wa flyovers, ajali zitapunguzwa kwa kufuata na kusimamia sheria za usalama barabarani, mazingira yatatunzwa kwa kutumia nishati mbadala safi za magari kama gesi za magari, barabara na miundombini itatunzwa kwa kuboresha reli ili mizigo mizito itumie reli badala ya barabara, ajira zitapatikana kwa ujenzi wa viwanda na sio kuajiri hiyo mizigo, hii itadumaza uchumi kwani wenye kujihusisha na gereji, service station nk. watakosa kazi na biashara. Empty thread, huna hoja kabisa, BOGUS!