wanaJF naombeni ushauri ni crytocurrency ipi nikiwekeza kwa mtaji wa laki moja baadaye inaweza nipatia pesa kwa kipindi Cha miak 2.
Pia ni plantform gan naweza kuzipata kununua eos,chain link,tezos,Monera, na zingne hasa hzi coin zinazokuakua.
Naombeni ushauri, please!!!
Asanteni sana
Sent using
Jamii Forums mobile app