Ok, umelenga kufanya kazi na makampuni,kuna kitu nafikiria baada ya kusajiri inatakiwa mafundi utakao waajiri lazima wawe na taarum (wamesomea)hiyo.
usajiri wa kampuni unategemea unasajili limited compan au business name(hapa na maanisha kampuni yoyote isiyo na neno limited nisawa na business name) kama uko dar nenda brera tsh 6000. pia kama uko mikoan tafuta mtu aliye dar akusaidie, kunajamaa humu jf alisema yeye anasaidia na unampa 40 000.kwa ajiri ya usumbufu anakushughulikia
asante