USHAURI WA KUCHAGUA KOZI

Melkiard Junior

Senior Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
150
Reaction score
79
Hello wandugu, naona kuna watu wengi wanapata tabu jinsi ya kuchagua kozi mojawapo kati ya alizochaguliwa;
ushauri mwepesi sana mbali ya kuangalia vipaumbele vya fursa za ajira kwa kozi husika etc nafkiri mtu wakati wa kuchagua hizo kozi ulitakiwa uwe umeshijiandaa kwa namna zote endapo itatokea mgongano wa kuchaguliwa zaidi ya kozi moja kati ya ulizoomba, kuliko kuja kupata tabu sasa hivi; hii inakusaidia kwani kwa sasa unafanya kazi ya confirming tu kwa kuwa tyr u had made decesions.

pili kwa kozi zenye kitu za idi ya kimoja chagua hizo, mfano mtu anachaguliwa kufanya BSc in InformationTechnology (BSc IT)pamoja na BSc in Business Information Technology (BSc BIT), its better kwenda kufanya BSc BIT kwa maana utajua yote kama mtu wa BSc IT na utaenda beyonda kwa kujua masuala ya Biashara pia.
KIla la kheri wanabodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…