Habari zenu wanajukwaa wezangu mimi nimemaliza kozi ya nursing certificate mwaka huu matokeo yametoka nina GPA ya 3.3 nilikuwa nauliza je hapo naenza kuunganisha na diploma alaf ufaulu wangu unaniruhusu kupata ajira
Wew koz za afya akunaga hayo ya kufaulu vizur au vibaya, wew kama hela ipo kaendelee kusoma, au plan B komaa kitaa tupo wasaka ajila na wasubili ajira wengi tuuu au kajiajir ukiweza.