6years???????? with a kid????
Huyo mdada kampa nn huyo mkaka?
Anyway ya ngoswe mwachie ngoswe...Mimi nadhani ukishaamua kufunga ndoa watu wengine wanakuwa na influence ila unatakiwa kui-suppress iwe ndogo ili maamuzi yako provided ni ya busara yafanikiwe.
That is my opinion.
Ni kweli ya ngoswe mwachie ngoswe, wanasema mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo
age aint nothing but a number! (rip Aaaliyah). jamani hizi ni hulka za waafrica kwamba mwanaume lazma akupite, au uolewe huna mtoto! hivi kungekuwa hakuna abortions kabisaaaaaaaa, wala no contraceptives kabisaaaaaa! hivi hali ingekuaje, coz am sure 95% wangekuwa na watoto kabla ya ndoa, so ndio u dont have another chance ya kupenda au kupendwa just because unamzidi mtu umri au una mtoto?! to me luv between them is ol matters here!
age aint nothing but a
number! (rip Aaaliyah). jamani hizi ni hulka za waafrica kwamba mwanaume
lazma akupite, au uolewe huna mtoto! hivi kungekuwa hakuna abortions
kabisaaaaaaaa, wala no contraceptives kabisaaaaaa! hivi hali ingekuaje,
coz am sure 95% wangekuwa na watoto kabla ya ndoa, so ndio u dont have
another chance ya kupenda au kupendwa just because unamzidi mtu umri au
una mtoto?! to me luv between them is ol matters here!
age aint nothing but a number! (rip Aaaliyah). jamani hizi ni hulka za waafrica kwamba mwanaume lazma akupite, au uolewe huna mtoto! hivi kungekuwa hakuna abortions kabisaaaaaaaa, wala no contraceptives kabisaaaaaa! hivi hali ingekuaje, coz am sure 95% wangekuwa na watoto kabla ya ndoa, so ndio u dont have another chance ya kupenda au kupendwa just because unamzidi mtu umri au una mtoto?! to me luv between them is ol matters here!
Mmmh, wajaribu
Na hawa wanamme wa kiafrika wanavyochit hivi?!!!!
Ukute kaibua kitbinti cha miaka 21 kijana wa miaka 38, wewe mke una miaka 44?
Si utaenda kunywa sumu?
Haya kazaneni, mie katoto nakokazidi umri 'Marfuku'
Bora nikahangaika na wazee wenzangu akina Bishanga nyama zishalala, wrinkles usoni unaficha noti wakati wa mvua na hazilowi
aisee wazazi wakibongo wanatia presha kweli wakati Maria Carey ameolewa na youngman na bado penzi linasonga mbele lakini kwa huku kwetu huyo kaka aandae maelezo na convincing power yake iwe juu ka helkopita ndo atafanikisha zoezi zima lasivyo ajiandae tu.:sad::sad: