Habari wanajf, ninaomba ushauri wenu kuhusu gari hii, nimeipenda lakini ningependa kujua ubora, utumiaji mafuta na upatikanaji wa spare kwa gari hii. Naomba mwenye uzoefu nayo atoe ushauri.

Ushauri wangu wa haraka haraka kwa sasa tanzania spare parts sio suala la kusumbua sana kichwa, na wala usiwe na wasiwasi nalo kabisa. Kwanza hata ukikosa hapa Dar utapata Arusha. Watu kibao wananunua spare parts Arusha kwa bei nafuu tu na kuzituma kwa mabasi. Pili matumizi ya mafuta kwa magari yaliyotengenezwa chini ya mwaka 2004 ni makubwa kidoooogo ukilinganisha na teknolojia iliyokuja baada ya hiyo miaka. All in all inategemea gari na gari na ukubwa wa engine wa hiyo gari. We nunua tu