Nawashauri wapambanaji wa ufisadi walioangushwa kwenye kura za maoni wajiunge na vyama vingine na wakagombee ubunge kwenye majimbo ambayo wagombea wake ni utata
mfano:
Selelii akagombee igunga kwa tiketi ya chadema
willam shelukindo nyamagana tiketi chadema
aloyce kimaro tarime tiketi .............
Charles mwera..............................