Kuna Mwingine baada ya Mtufuano chupi ilidondokea chini ya Uvungu alipoombwa Chupi yake na yule Binti alipozama Uvunguni akakuta ziko kama tatu hivi akakumbuka wale wengine hawakuzichukua zao na Mtihan zaid hakuwa amekariri yule Binti alivaa chupi gani