Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,983
Wakafie mbali hatuhitaji CCM tena ,ARUMERU NI CHACHU YA MOVEMENT FOR CHANGES
mkuu,huoni kwamba tutakapo chukua nchi 7{chadema} bila upinzani imara,ni rahc kujisahau,na hvo kuishia pabaya?
Mzee,you are right, Ila sijui kama CDM na sie great thinkers tumejifunza jambo toka arumeru na kwa Bw.Mitusi
Funzo 1. CCM washaelekea kibra, ni kazi kwetu kuwa waungwana kwa nchi yet na vizazi vijavyo kwa ku- recognize Kazi nzuri ya waliojitolea,hadi wanapigwa mapanga,tukagombee uenyekiti wa Mtaa -2014.Hii ni kazi ndogo haina complications katika majukumu yako, na ina impact Kubwa saana, to ensure when CDM gets into power its ever strong, no sabotage kama za Mza,etc
Funzo 2. CCM haikuwa hivi zamani,walipojiona wamekuwa indispensable wakalegeza Taratibu,wakavuna hadi ma joka (Lusinde) badala ya Samaki na sasa lishakuwa joka Kubwa liko had I kwenye NEC wanaliogopa na kulivizia Nam a ya kuliua! So CDM watch out carefully your operation sangara! Yasije wakuteni.
:rockon:Mwenzako anapokuwa ananyolewa wewe utafute maji utie kichwani mwako kabla haijaja zamu yako!!!!:rockon:
ccm ife kabisa kama upinzani basi kiwe chama kingine. ccm wana maovu mengi hawastahili kuendelea kuwepo hata hivyo wana kesi nyingi za kujibu. Mimi napendekeza kamati maalumu iundwe mara tu baada ya ukombozi kwa ajili ya kuratibu urudishwaji wa mali za umma walizo jilimbikizia magamba
Wakafie baharini hao magamba!
Vyama vingine vitaibuka tu on da way!
RIP CCM!
Mzee,you are right, Ila sijui kama CDM na sie great thinkers tumejifunza jambo toka arumeru na kwa Bw.Mitusi
Funzo 1. CCM washaelekea kibra, ni kazi kwetu kuwa waungwana kwa nchi yet na vizazi vijavyo kwa ku- recognize Kazi nzuri ya waliojitolea,hadi wanapigwa mapanga,tukagombee uenyekiti wa Mtaa -2014.Hii ni kazi ndogo haina complications katika majukumu yako, na ina impact Kubwa saana, to ensure when CDM gets into power its ever strong, no sabotage kama za Mza,etc
Funzo 2. CCM haikuwa hivi zamani,walipojiona wamekuwa indispensable wakalegeza Taratibu,wakavuna hadi ma joka (Lusinde) badala ya Samaki na sasa lishakuwa joka Kubwa liko had I kwenye NEC wanaliogopa na kulivizia Nam a ya kuliua! So CDM watch out carefully your operation sangara! Yasije wakuteni.
ccm ife kabisa kama upinzani basi kiwe chama kingine. ccm wana maovu mengi hawastahili kuendelea kuwepo hata hivyo wana kesi nyingi za kujibu. Mimi napendekeza kamati maalumu iundwe mara tu baada ya ukombozi kwa ajili ya kuratibu urudishwaji wa mali za umma walizo jilimbikizia magamba
Ni wazo zuri mkuu,ila kama unakumbuka vizuri mwl JK Nyerere alitamani sana kiwepo chama mbadala kwa CCM ili kiweze kuisukuma kufanya kazi.
CDM i mbioni kuchukua dola!
Beleive me,CDM haina watu wazuri watupu,bali kuna wengi tu ambao wameficha makucha yao!
Madaraka ni matamu,na bila nguvu ya nje,ni rahc kujisahau!
Kama ikitokea 2015 CDM ikachukua nchi,naona hatari ya kukosekana upinzani wa maana,kwan CUF ndio hvo inaelekea kaburini,NCCR haieleweki!
Hvyo naona ni busara sasa CCM waanze kujipanga kuwa chama kikuu cha upinzani for the better future of our country.