Panua soko makava ambayo yanapitwa kimuonekano huwa yanasambazwa sehem za mbali asikudanganye mtu kava iliyo pitwa fashion Dar kule Maswa bado ni sukari
Swala ni kuwa na mtandao tu una mpushia mtu kwa jumla

Wanunuzi wa kava kwenda mikoani huwa wanafata kava hapa Dar wao pia huchukulia mzigo unapochilukulia wewe jaribu kutumia akili yako ya kibiashara kuwashawishi