Mmoja kati ya maraufiki zangu amekutwa na maswaiba yanayomfanya awaze kumchukua Maamuzi ambayo mi nimeyaona kama yatamuumiza mwanae;
Ipo hivi,
Akiwa chuo(degree holder kwa sasa)
Aliwahi kuwa na boyfriend na kutokana na upeo wake kuwa kiduchu akabeba mimba, alilea mimba akazaa ila baada tu ya kubeba mimba ndipo alipogundua kua mwanaume aliyekuwa nae was animal, alimpiga several time na kuna kipindi alitaka kumuua mtoto akiwa tumboni kwa kumbinya sana na kusema anayaka kumuua, baada ya mtoto kuzaliwa kipigo kiliendelea kwa kuwa alikuwa anaweza kwenda kwa bidada alipokuwa anakaa(bdada alipanga nje ya hostel).
Ilifikia wakati bidada ikabidi ampeleke mtoto kijijini kwa mama yake ili aendelee na chuo bila yale mateso, pale ndipo kila mtu aliendelea na maisha yake kwa kuwa bdada alirudi hostel bt alibebwa na shost wake(mimi). Kijana hakuwahi kumpenda mtoto, hakuwa kugharamia chochote bdada alimlea mwanae kwa kutumia boom, baada ya kumaliza chuo akaenda kumchukua mtoto mwanaume akaanza tena kumfuuatafuata kwa kisingizio kuwa anaenda kumuona mtoto, bdada akaona isiwe tabu akamrudisha mtoto kijijini na kumuambia kama kweli anampenda mwanae akamtembelee ila cha kuchekesha ana cm ya bibi wa mtoto hakuwah kabisaa kupiga kutuma hata centi hata kwenda kumuona, baada ya mwaka na nusu jamaa akafunga ndoa ya kanisani, at the time mawasiliano yalishakata kabisa, miaka miwili baada ya ile ndoa bidada akapata mume tena sio mume tu bali mume mwema nae akafunga ndoa kanisani, maisha ya ndoa yakaendelea fresh tatizo lilianza pale yule baba wa mtoto anamtumia bdada sms, bdada akaamua kuteketeza line kwa kuwa hakuwah kubadilisha ila b4 ndoa ya bdada alimwambia kijana anataka kumkabidhi mtoto for good badala yake kijana akayeyuka. Sasa ameanza tena usumbufu wa ajabu ajabu anamfuata mume wa bdada na kujitambulisha mara anamtumia mama yake(bibi wa mtoto) ajidai anamjulia hali mtoto.
Maamuzi ya bidada;
Anasema kwa kuwa anampenda sana mume wake na watoto na kwa kuwa mumewe ni mpole na hastahili kusumbuliwa wala kuumizwa anampeleka mtoto kwa bibi yake mzaa baba ijapo anajua atakuwa amemtelekeza na hawawezi kumsomesha shule kama Anayosoma wala kumpa maisha anayopewa sasa kwa kuwa baba yake hakuwahi kumpenda.
Naombeni ushauri kama kuna yeyote aliye na ushauri tofauti ya uamuzi anaoamua kuuchukua.
Note; mme wa bidada alimchukua mtoto in akampa jina na malezi mazuri sawa na wanae(amezaa na bdada watoto wawili sasa)
swala la kutoa mimba huwa linaniumiza sana......ningekuwa Mungu yeyote atakayehusika kushiriki katika kutoa mimba kwa namna yeyote ile tena kwa kukusudia.....naye uhai wake ningemtoa muda huohuo ambao mtoto anakufa nae afe....Bora abortion iwe ruksa kwa kesi kama hizi
swala la kutoa mimba huwa linaniumiza sana......ningekuwa Mungu yeyote atakayehusika kushiriki katika kutoa mimba kwa namna yeyote ile tena kwa kukusudia.....naye uhai wake ningemtoa muda huohuo ambao mtoto anakufa nae afe....
Bora abortion iwe ruksa kwa kesi kama hizi
u r wrong mkuu,
Mmoja kati ya marafiki zangu amekutwa na maswaiba yanayomfanya awaze kumchukua Maamuzi ambayo mi nimeyaona kama yatamuumiza mwanae;
Ipo hivi,
Akiwa chuo(degree holder kwa sasa)
Aliwahi kuwa na boyfriend na kutokana na upeo wake kuwa kiduchu akabeba mimba, alilea mimba akazaa ila baada tu ya kubeba mimba ndipo alipogundua kua mwanaume aliyekuwa nae was animal, alimpiga several time na kuna kipindi alitaka kumuua mtoto akiwa tumboni kwa kumbinya sana na kusema anayaka kumuua, baada ya mtoto kuzaliwa kipigo kiliendelea kwa kuwa alikuwa anaweza kwenda kwa bidada alipokuwa anakaa(bdada alipanga nje ya hostel).
Ilifikia wakati bidada ikabidi ampeleke mtoto kijijini kwa mama yake ili aendelee na chuo bila yale mateso, pale ndipo kila mtu aliendelea na maisha yake kwa kuwa bdada alirudi hostel bt alibebwa na shost wake(mimi). Kijana hakuwahi kumpenda mtoto, hakuwa kugharamia chochote bdada alimlea mwanae kwa kutumia boom, baada ya kumaliza chuo akaenda kumchukua mtoto mwanaume akaanza tena kumfuatafuata kwa kisingizio kuwa anaenda kumuona mtoto, bdada akaona isiwe tabu akamrudisha mtoto kijijini na kumuambia kama kweli anampenda mwanae akamtembelee ila cha kuchekesha ana cm ya bibi wa mtoto hakuwah kabisaa kupiga kutuma hata centi hata kwenda kumuona, baada ya mwaka na nusu jamaa akafunga ndoa ya kanisani, at the time mawasiliano yalishakata kabisa, miaka miwili baada ya ile ndoa bidada akapata mume tena sio mume tu bali mume mwema nae akafunga ndoa kanisani, maisha ya ndoa yakaendelea fresh tatizo lilianza pale yule baba wa mtoto anamtumia bdada sms, bdada akaamua kuteketeza line kwa kuwa hakuwah kubadilisha ila b4 ndoa ya bdada alimwambia kijana anataka kumkabidhi mtoto for good badala yake kijana akayeyuka. Sasa ameanza tena usumbufu wa ajabu ajabu anamfuata mume wa bdada na kujitambulisha mara anamtumia mama yake(bibi wa mtoto) ajidai anamjulia hali mtoto.
Maamuzi ya bidada;
Anasema kwa kuwa anampenda sana mume wake na watoto na kwa kuwa mumewe ni mpole na hastahili kusumbuliwa wala kuumizwa anampeleka mtoto kwa bibi yake mzaa baba ijapo anajua atakuwa amemtelekeza na hawawezi kumsomesha shule kama Anayosoma wala kumpa maisha anayopewa sasa kwa kuwa baba yake hakuwahi kumpenda.
Naombeni ushauri kama kuna yeyote aliye na ushauri tofauti ya uamuzi anaoamua kuuchukua.
Note; mme wa bidada alimchukua mtoto in akampa jina na malezi mazuri sawa na wanae(amezaa na bdada watoto wawili sasa)
There are things in life that are very difficult to explain....
asimtese mwanae kwa sababu ya huyo fedhuli ikiwezekana ampeleke mwanae shule ya bwen
asimtese mwanae kwa sababu ya huyo fedhuli ikiwezekana ampeleke mwanae shule ya bwen
u r wrong mkuu,
mpaka muda huu naona uamuzi anaouchukua nia sahihi kabisa,labda kama nitawaza vinginevyo,ila kama ana uwezo wa kutosha ni bora amtafutie shule nzuri ambayo itakuwa jirani na kwa bibi mzaa baba wa mtoto ili mtoto atakapokuwa anatoka shule anaenda kwa bibi yake mzaa baba yake.manake kama mtoto atakosa elimu bora na atakaposhindwa kufanikiwa maishani mzigo utakuwa kwa mama yake kwani huyo jamaa atawaangalia sana watoto atakao zaa na huyo mke wake.kwangu mimi huo ni uamuzi bora kabisa kwa sasa.
katika hili,tunamuona muhusika anataka ku eliminate tatizo,imagine,kuna vitu vitatu,mwanamme,mwanamke na kiumbe kilichoko tumboni.hebu nambie kati ya hivyo vitu vitatu nani tatizo?matatizo yenu wawili mnataka solution iwe ku eliminate third party,why?kama kweli unataka kuondoa tatizo kwanini usimuue aliyekupa hiyo mimba maana ndiye tatizo?kwanini ukaue kiumbe kisicho na hatia.why BECOME A PARENT OF A DEAD CHILD?Najaribu kusema hapana, kwa kuwa kuna vitu vingine huwezi elezea.
Asante mkuu.
kinachomfanya jamaa ajirudishe si ni mtoto?si anakuja kwa gia ya mtoto?anaweza pia kumpeleka mtoto kwa baba yake.aende mpaka kwake amkabidhi mtoto mbele ya mke wake,akimkataa amwambie wasisumbuane,manake anachokifanya huyo jamaa ni kujaribu kuvuruga ndoa ya xwake.lazima bdada awe na msimamo otherwise ndoa yake kwishney.lazima afanye maamuzi magumu,sometimez u just hav to say..."to hell with shit"kiukweli hicho kwa huyo tata sidhani kama atakubaliana, kwa kuwa jamaa anatafuta nafasi na kumfuata bdada na si mtoto kwa hiyo bibi wa mtoto yupo kijijini na anataka akiwapa huyo mtoto asigeuke nyuma kabisa.