Ushauri unahitajika

likabuje

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
31
Reaction score
4
Am 24 years now sijawahi sex na plan zangu nisifanye hii kitu mpaka nitakapooa.

Kiukwel naona kama naelekea kushindwa kwa sababu hisia za kufanya hii kitu zinaongezeka kila baada ya siku.

Ushauri please what can i do to archieve my plan.
 
We ni mwanaume au mwanamke,kama mwanaume ukiendelea hivo jiogope,kikwetu zamani ikifika jioni mtoto wa kiume anakaa mazingira ya nyumbani kuchoma mahindi lazima mzee akufukuze uende kufukuzia warembo
 
Sasa we mtoto wa kiume usiposex mpaka kuoa utafaidika nini labda?!. Angekuwa mtoto wa kike kwel anamtunzia mmewe...kula ujana kijana wakati ndo huu
 
Am 24 yrs now cjawah sex na plan zangu nisifanye hii kitu mpaka ntakapooa. Kiukwel naona kama naelekea kushndwa coz hisia za kufanya hii kitu znaongezeka kila baada ya cku.
Ushauri please what can i do to archieve my plan

Mwisho watasema sio riziki
 
Mataman kuwaona watu humu ndan maana majibu yao me hoi
 
Am 24 yrs now cjawah sex na plan zangu nisifanye hii kitu mpaka ntakapooa. Kiukwel naona kama naelekea kushndwa coz hisia za kufanya hii kitu znaongezeka kila baada ya cku.
Ushauri please what can i do to archieve my plan

we ni ME au KE ?Tuanzie hapo kwanza
 
A man is all about his PRINCIPLES and STANDARDS. Usiwaige hawa wasiokuwa na VALUES wala MORALS.
 
Zingatia sana mazoezi itakusaidia
 
Kijana tumia viungo ulivyopewa kwa usahihi!!
 
miaka 24! mdogo sana. nimejua sex baada ya kuoa last year nikiwa na miaka 28. kitu ambacho kilinisaidia kuondokana na hisia za mapenzi, nilikuwa nafunga kwa week mara tatu( kwa ufupi kuwa karibu sana na Mungu wako), piga sana mazoezi kila weekend, jiepushe kukaa peke yako muda mwingi, epuka kuangalia movie, kupiga au kusoma stories za mapenzi(hivi vitu vina ushawishi mkubwa sana).

KILA KITU KINAWEZEKANA NI WEWE NA MAAMUZI YAKO TU! KUMBUKA MSIMAMO WAKO NDIO UTAKAOKUFIKISHA KWENYE MALENGO YAKO.
 
hakika zinaa ni deni ukikopa lazima ulipe... ogopa kudaiwa na mungu kijana huwezi kumkwepa... hongera kwa kufika hapo ulipofika bila kufanya kamchezo kale.. jitenge na vishawishi vyote piga zoezi au tafuta kitu kitakachokuweka busy na kuondoa mawazo ya kimapenzi
 
We ni mwanaume au mwanamke,kama mwanaume ukiendelea hivo jiogope,kikwetu zamani ikifika jioni mtoto wa kiume anakaa mazingira ya nyumbani kuchoma mahindi lazima mzee akufukuze uende kufukuzia warembo

Kikwenu ndio kinini
 
Thank u all for advice..i thnk some of u gv m very gud advice ..Harufu & lara 1 apreciation# Am going to make this happen!! Though people thnk it is impocble
 
Soma kitabu kinaitwa "Bikira yangu" kimeandikwa na Privatus Karugendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…