Nyie from the first place hamkupendana aidha mmoja ndio alikuwa na mapenzi kwa mwenzie na mwengine alikuwa anazuga tu...mapenzi yenu ni by chance!....Yaani mkikutana ndio mnawaka tamaa halaf bahati mbaya ndio mnaita kupendana.....Kama una mtu sasaivi hebu mheshimu na usonge mbele..nachukia sana watu wanaorudi rudi nyuma..kwangu mimi huku nikukosa msimamo......bygones are bygones!!!