Ushauri unahitajika

Urinary Track Infections
(magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya mkojo)

Urinary Track Infections
(magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya mkojo)
Sasa huyu mbona anasema aliupatia nyuma?[emoji15]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UTI Na maambukizi ya njia ya mkojo

Mwenyewe najiuliza maswali bado Ila naloliona inawezakana alimficha daktari tatizo linalomsibu
hiyo ndio maana ya UTI , ni kweli ni magonjwa yanayoshambulia njia ya mkojo..

ila kuna bacteria wanaitwa E. Coli
wanapatikana kwenye utumbo mpana wa binadamu, hao bacteria wakifanikiwa kuingia kwenye njia ya mkojo kwa namna yoyote ile basi hapo lazima uanze kushambuliwa kwa UTI.

Hiyo ndio sababu kubwa inayofanya wanawake kuwa na hatari kubwa ya kuambukizwa hayo magonjwa kuliko wanaume
maana njia ya haja kubwa ipo jirani sana na tundu la mkojo..

ila pia kwa huyu aliyetoa post..
UTI ina muhusu sana tu!
maana kama aliruka ukuta, basi aliwafuata huko huko hao bacteria
kiulaini wanaingia kwenye tundu la mkojo
kwaiyo mi sioni kama ni ajabu kupewa hayo majibu ya UTI huko hospitali...

We mtoa post, nakushauri ufanye haraka sana kuuitibu huo ugonjwa unapozidi kuchelewa majuto yake yatakuwa makubwa kupita maelezo...
maana mwanzoni hushambulia Kibofu cha mkojo.. baadae Figo.. mwisho humalizia Ini..

Hapo ndio utajua sasa kweli
BINAMU NYAMA YA HAMU
 
Binam amemponza

Asante Kwa maelezo Sasa UTI ikizidi humfanya mwanaume atokwe uchafu kwenye maumbile yake?
 
Unaweza ukawa na chronic uti ila badili Hosp na ukapime afu pia wachukue mkojo wauoteshe inaitwa culture and sensitivity ili wajue kwenye mkojo kuna wadudu gan na dawa IPI inakufaa ukizubaa inaweza kukuharibia mengi kua mgumba na mengineyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UTI Na maambukizi ya njia ya mkojo

Mwenyewe najiuliza maswali bado Ila naloliona inawezakana alimficha daktari tatizo linalomsibu
Bacteria wake wapo nyuma wengi tu na akina mama wakijisafisha nyuma vibaya maji bahati mbaya yakafanya contact na mbele utapata UTI
 
KWA UFUPI

bacteria wapo nyuma (hilo unalifahamu)

sasa mtu akiingia kinyume na maumbile.. yaani akiwafuata huko huko unategemea nini
Haya ahakikishe anamaliza Tiba anazoandikiwa Na akiona haponi arudi asichoke kuacha kutibiwa
 
Pole kiongozi, yaweza kuwa cancer ya uume or chronic U.T.I
mashine itakatika sijui lini.ukute hata mtoto hana
Ila mihemko mibaya sana kuiendekeza ona Sasa anayohangaika
halafu nimejiunza haya mambo ya wanaume kudai tuwanyonye madudu yao sio .kumbe wanazibulia vyoo huko halafu wanatupa tuishike .kweli condom zidumu milele na milele .
 
mashine itakatika sijui lini.ukute hata mtoto hana

halafu nimejiunza haya mambo ya wanaume kudai tuwanyonye madudu yao sio .kumbe wanazibulia vyoo huko halafu wanatupa tuishike .kweli condom zidumu milele na milele .
Miss Natafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanfrahisha sana Na unaongea uhalisia mtupu tutajipatia kansa ya kooo bure
 
yaani nimekoma siku nikijiskia kugegedwa box langu la condom mbele tena nanunua mwenyewe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…