Ushauri unahitajika

Joined
Dec 8, 2016
Posts
79
Reaction score
170
Habari za wakati huu waungwana!!

Nianze moja kwa moja kwenye mada ni hivi ninasumbuliwa na UTI kwa muda mrefu sana. Kila nikitumia dawa ninapona na dalili za ugonjwa zote zinaisha ila nikiumwa ugonjwa mwingne wowote nikipima tena UTI inaonekana tena.

Mara ya kwanza kuugua huu ugonjwa nilishiriki ngono kinyume na maumbile na binamu yangu yule binti sitaki hata kumiskia tena katika maisha yangu. Aliniambia ni raha sana kuliko mbele nilivyo jaribu ameniachia janga mpaka leo maana baada ya wiki mbili nilianza kuhisi kama kuna uchafu unatoka kwenye uume kwanza nikahisi ni kisonono(Gonorrhea) ila nilipoenda hospital kupima nikaambiwa UTI imekuwa nyingi sana.

Nilijiuliza sana hii inakuwaje ikabidi nimwambie yule binamu yangu shida niliyoipata akanifariji tu kuwa kama ni mara ya kwanza lazima hiyo kitu initokee so akadai nikiendelea kufanya wala sitopata tena hayo matatizo.Nilimuitikia tu lakini sijarudiana naye tena mpaka leo na hili gonjwa bado nahangaika nalo maana linakula hela zangu tu na kumaliza dawa za hospital.

Waungwana naomba ushauri wenu yaani hapa kuna dawa nilipewa nitumie ndani ya siku kumi na kesho ndio ninazimalizia lakini nahisi nikienda kupima nitaambiwa nina UTI tu.Je nifanye nini ili nipone kabisa?

Vijana wenzangu huo mchezo sio mzuri kabisa yaani nilivyoenda Dar badala ya kurudi na ujanja nimerudi na UTI!!!!!!!!
 
Aiseee kapime vipimo viingine kuna possibility umeambukizwa maradhi ya zinaa

Inna lillah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we bwana nishakwambia akili zako unazijua mwenyewe hayo me sijui nachomshauri abadilishe hospital Na ajieleze vizuri ili asaidiwe tatizo lake
Labda nikajaribu hospital za Dar maana huku nimeshamaliza hospitali zote.

Week ijayo ninasafari ya kwenda huko nitajaribu kwenda kupima tena. In short ni kuwa nilikuwa muwazi kwa yule daktari wa kwanza baada ya kuniambia ni U.T.I nikamuuliza kama anal sex pia inaambukiza. Akaniambia hata hiyo inachangia kupata huo ugonjwa.
 
Chemsa not za elfu kum tano kunywa maj yake x3 kwa muda wa wk kama bado njoo
 
How do you get gonorrhea?

Gonorrhea is a very common sexually transmitted infection. It is caused by bacteria, which are passed on during sex.


You can get infected with these bacteria during the following activities:


vaginal sex

anal sex

oral sex

sharing sex toys

genital contact with an infected partner


The best way to protect yourself is to use a condom every time you have sex and to avoid unprotected sex until both you and your partner have tested negative for STIs.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we bwana nishakwambia akili zako unazijua mwenyewe hayo me sijui nachomshauri abadilishe hospital Na ajieleze vizuri ili asaidiwe tatizo lake
AHAHAA nauliza tu bna mimi namshukuru mungu UTI naisikia tu kwa jirani huko .ipo ipo mbele na nyuma mi nilidhani ni urinary track infection ile kumbe na nyuma kuna mkojo?
 
AHAHAA nauliza tu bna mimi namshukuru mungu UTI naisikia tu kwa jirani huko .ipo ipo mbele na nyuma mi nilidhani ni urinary track infection ile kumbe na nyuma kuna mkojo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UTI Na maambukizi ya njia ya mkojo

Mwenyewe najiuliza maswali bado Ila naloliona inawezakana alimficha daktari tatizo linalomsibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…