watu tumetofautiana sana. mimi nikitemwa/tema faraja yangu ni kuwa alone kwa kipindi fulani nikifanya analysis ya past relationship. wapi palikuwa poa, wapi tulichemsha, wapi palitakiwa kuwaje, nk nk nk......... ili nikianza tena nijue naingiaje
Hahahaaaa! Mi upendo wa mda mrefu bila kuambiwa ndo siutaki, ni dalili za kumiliki ZOMBIII! Ghafla ndo safi full of surprises, sio mtu anakuzoea MWAKA afu ndo anakuja kusema ujue NAKUPENDAGA!!!!
Hahahaaaa! Mi upendo wa mda mrefu bila kuambiwa ndo siutaki, ni dalili za kumiliki ZOMBIII! Ghafla ndo safi full of surprises, sio mtu anakuzoea MWAKA afu ndo anakuja kusema ujue NAKUPENDAGA!!!!
hapana, naweza nikawa nilikupenda tu nilivyokuona kwa mara ya kwanza lakini ikapita mwaka ndio nikapata bahati ya kukueleza.. hapo sio gafla kama mdau anavyosema..