EDUCATION najua utashangaa sana ila ndio ivo but nashukuru coz ndio namaliza na masters nitasoma kwa raha sna
kumbe wewe hata chuo hujaenda unabaki kukashfu IFM poooooor you,unatukana mamba hujavuka mto.thanks alot....
ndugu yangu mbona wataka niaharibia siku mchana wote huu??? ni sehemu gan nimkashfu IFM??? TAFADHAL NAOMBA UNIJIBU!kumbe wewe hata chuo hujaenda unabaki kukashfu IFM poooooor you,unatukana mamba hujavuka mto.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...um/313188-wanaoiponda-ifm-ni-wendawazimu.htmlndugu yangu mbona wataka niaharibia siku mchana wote huu??? ni sehemu gan nimkashfu IFM??? TAFADHAL NAOMBA UNIJIBU!
embu kuwa muwazi kidogo ni sehemu gan nimeikashfu IFM!!! sehem zote hizo sijaona maelezo ambayo nimeikashfu IFM....AFU UNAELEWA MAANA YA KASHFA NA MCHANGO...embu ni quote sehem niliyoikashfu IFM!!! KUMBUKA SIKO HAPA KUBISHANA NA WEWE ILA NI KUWEKA MAMBO SAWA...tafadhal fanya hivyo!https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...um/313188-wanaoiponda-ifm-ni-wendawazimu.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ungu-sijapangiwa-ifm.html?highlight=LORDVILLE
ANGALIA MICHANGO YAKO HUKO THEN TOA JIBU WEWE NA ze duduz01 WAZEE WA SUA MNAKWENDA SOMA KOZI ZA WAZEE HHAHA NA HIYO SIKU YAKO IHARIBIKE POTELEA MBALI
angalia mwenyewe ndio nishakuambia usitukane mamba hujavuka mto ,embu kuwa muwazi kidogo ni sehemu gan nimeikashfu ifm!!! Sehem zote hizo sijaona maelezo ambayo nimeishfu ifm....afu unaelewa maana ya kashfa na mchango...embu ni quote sehem niliyoikashfu ifm!!! Kumbuka siko hapa kubishana na wewe ila ni kuweka mambo sawa...tafadhal fanya hivyo!
okey sasa ni hiv...si kwamba ilikua ni ombi kama ulivyoelewa....naiman na ndo hivyo ilivyo hamna mahali nlishakashfu chuo humu JF,SASA UNACHOONGEA SIKUELEW....nimekwambia unionyeshe ni sehem gan unajing'ata....ila kama kuna sehem nliandika maneno hayo naomba unsamee...angalia mwenyewe ndio nishakuambia usitukane mamba hujavuka mto ,
na haya maneno ulivokua unaandika ulikua unamaanisha nin??????WAZEE WA SUA MNAKWENDA SOMA KOZI ZA WAZEE HHAHA