Ushauri: Tunza MSG za Miamala ya Fedha, Ningelala Selo leo

Asante Sana hiyo archives ndo baba lao
Halafu ni hii simu yangu au zote natamani Archive ingekuwa na password setting yake ya tofauti. Ilishawahi kunisave. Yaani na Mimi miamala ya Tigo pesa nilikuwa sifuti. Huwa na naitupa ktk archive for nine months ikaja kuwa suluhisho one day.
 
Kwangu miamala yote huwa nina screenshot, natunza google drive kama document.
Hata simu ikiharibika nikapeleka kwa fundi (baadhi yao wanakimbilia ku flash) sipotezi kitu.

Miamala ya kutumia hela michepuko hiyo nafuta ili kujipunguzia maumivu ya jinsi gani mchwa mtu wanavyonila taratibu.
 
Yaaa hiyo njia rahisi lkn hata kama ikitokea umefuta. Unawapigia customer care wanakutumia tu sms ya muamala uliyotuma ila ukumbuke tu taarifa muhimu tarehe uliyotuma,,,kiasi ulichotuma na ulimtumia nani.
 
Umakini unahitajika sana
 
Pole sana na mshukuru Mungu kwa kukupa ufahamu huo na hekima!
 
Kuna mambo mengine ni vichekesho.mbona polisi wakitaka kufatilia wanaenda kwenye mtandao wana print mkeka wote ulivofanya.
Hapo tu askari wetu Kila kesi kwao ni dili
 
Kwenye Miamala wala usiwe na Pressure sana.Mitandao yote inaweza kukupa statement ya simu yako kwa miezi hadi 12.Kama unafanya shughuli ambazo ni tricky basi uwe na tabia ya kurequest za mwezi.Haigombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…