Ni Gari ndogo mfano wa stallet, inakula mafuta kidogo, I think ni 14km/l, ila kwa hapa mjini zipo chache sana so spare zake pia itakuwa ni big challenge kuzipata. Ni model ya zamani kwakweli
BIGURUBE-Ahsante kwa ushauri wako vipi kuhusu vitz/raum za 2003-2006
kaka umemuingiza chaka mwenzako platz na stallet wapi na wapi,plats zina bonet kwa nyuma its a saloon car na sio baby seater na spare zipo za kutosha na wala sio gari za zamani kivile
2005 hazikuwepo kabisa hizi hazina muda mwingi hapa bongo ila watu hawakuzipenda sijui whySikumaanisha muundo ni km stallet bali cc zinalingana na stallet, sijaona watu wengi wakinunua km ilivokuwa miaka ile ya 2005
Hizo sina uzoefu nazo mkuu, ila km unahitaji Gari mm pia ninayo Vista Ardeo nauza, inakula mafuta vizuri sn
Hizo sina uzoefu nazo mkuu, ila km unahitaji Gari mm pia ninayo Vista Ardeo nauza, inakula mafuta vizuri sn
Vista ardeo??? engine capacity ngapi?
kaka umemuingiza chaka mwenzako platz na stallet wapi na wapi,plats zina bonet kwa nyuma its a saloon car na sio baby seater na spare zipo za kutosha na wala sio gari za zamani kivile
Zilikuwepo boss, hata sasa ukiwauliza ni wachache sn wanazifahamu
Wanajamvi naomba ambaye ashawahi kuwa na toyota platz anishauri-je ni gari ambayo spare zake zinapatikana? je inaweza kupiga masafa marefu mfano Dar-Arusha,je utumiaji wa mafuta uko vipi i.e. lita moja ni KM ngapi.Kama kuna mengine mtu anajua anawez kunishauri zaidi.
Mmmh Toyota Platz? Sikushauri kabisa,kuna kitu inaitwa Toyota Wish ndo habari ya Mujuni,mafuta 14.5L/Km,comfort drive,prize yake ni cheap pia,