Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,868
Muheza TangaUnataka kujegea mkoa/wilaya gani??
Maana nivyema ukaweka location unapo panga kujega ili wajuzi waweze kukushauri vyema kutokana na aina ya udongo/ardhi ya eneo husika.
ThanksUbora kwa maana katika Long life na hata kwa gharama tofali za kuchoma ni chaguo sahihi, sema zina usumbufu sana hasa ikiwa unanunua kutoka sites wanapozichoma ila kama mzigo utaandaa mwenyewe hapo safi.
Kingine ujenzi wake huwa unaenda taratibu sana na changamoto yake nyingine ili kuanza kuishi ndani atleast hata kwa ndani upige plasta kuhepusha wadudu kujificha tofaut na block na pia si kila fundi anaziwezea kuzijenga wengi wao huishia kupindisha kuta.
Sahihi kwa cement japo tope then plaster ya cement kama mfuko hauruhusuNa je? tofali za kuchoma zinafaa kujengwa Kwa tope au cement.
Udongo unabond vizur na udongo mwenzie (tofali ya kuchoma).Na je? tofali za kuchoma zinafaa kujengwa Kwa tope au cement.
Hilo tofali ulotaja kwa tofali ya kuchoma ni kubwa mno (beyond standards),Naombeni ushauri, je kipi bora; tofari choma ya 11inch, kina 5inchs, upana 6inchs Au Block ya inch 5?
Nimepata muongozo na nimeufanyia kaziNatumae mleta mada ulipata muongozo...
WordUdongo unabond vizur na udongo mwenzie (tofali ya kuchoma).
Ila fundi atumie mota ndogo ya kuacha nafas ya kujazia cement wkt wa plasta.
Utatoa kitu imara Sana[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app