hakuna tatizo hapo
gf wako ni muajiriwa
kwa hiyo majukumu yake ni ya kuajiriwa zaidi....
mwenye duka anaweza kabisa kuamka vibaya na kuwa amenuniana na mkewe
kwa mambo yao binafsi.....
hivyo anamtumia huyo muajiriwa ili kazi ziende
huyo gf wako hata akiacha kazi...akiajiriwa mwingine hali itabaki hivyo hivyo...
mwenye duka anajua mkewe ni 'mtumiaji wa hovyo wa pesa'
na hawezi kumdhibiti kirahisi kwa hiyo anatumia huyo 'muajiriwa' kwa hilo...
Nao huo ni uamuzi mzuri, lakini subiri ushauri zaidi wa wadau.Mimi nilpanga nimshaur a2mie m2 mzma mwenye busara Ili Awaslshe Kwa Mkewe ili Haconekane tofaut
Hlo vp wakuu?
Ukwel up mkuu? Njuze!!
kuhusu huyo GF wako mwambie akwambie ukweli kwani ni vigumu vitu hivyo viwe vinatendeka kwa kisingizio cha kazi .(yaani kuajiriwa)..mimi nazani ameamua kijidefend kwako ili kikinuka usishituke......amka mkuu
hakuna tatizo hapo
gf wako ni muajiriwa
kwa hiyo majukumu yake ni ya kuajiriwa zaidi....
mwenye duka anaweza kabisa kuamka vibaya na kuwa amenuniana na mkewe
kwa mambo yao binafsi.....
hivyo anamtumia huyo muajiriwa ili kazi ziende
huyo gf wako hata akiacha kazi...akiajiriwa mwingine hali itabaki hivyo hivyo...
mwenye duka anajua mkewe ni 'mtumiaji wa hovyo wa pesa'
na hawezi kumdhibiti kirahisi kwa hiyo anatumia huyo 'muajiriwa' kwa hilo...
kongosho ...inaruka kivipi kuwa wazi tuelewendio mie nikauliza yupo hapa, ili ajibu baadhi ya maswali ambayo mleta mada najua hawezi yajibu.
Hii cd inaruka sana.
Duh!Nalo Neno..