Pole sana kwa haya yote, hilo halikuwa kosa kubwa hadi kuachana ila ukweli atakuwa amepata mwingine.
Fuata haya yafuatayo yataj=kusaidia.
1. Usimtafute wala kumpigia simu, kuwa busy na ishu zako za maendeleo kwani Mungu atakupa wako atakayekupenda na kukujali.
2. Usiwe mpweke/ mwenyewe muda mrefu, jichanganye na rafikizo kupiga stori n.k hii itakusaidia kumsahau haraka.
3. Mwombe MUNGU akupe wako, huyo hakuwa wako ndio maana amekufanyia hivyo.
4. Usilazimishe kurudiana naye sababu unampenda, utakuja kuumia zaidi ya hapa utakuja juta zaidi na muda huo itakuwa too late.